Discuss with your friends

Would you like to discover for yourself what God is like and how God wants you to live?

Most people like to make these discoveries in a group with their friends. Here are some questions to get your discussion started


    

Discovering Spiritual Community #16

Caring for one another

1. Una shukuru kwa ajili ya nini juma hili?

2. Una sumbukana na nini na jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Accountability

3. Ni vipi uliweka kwa matendo tulio jifunza mwisho?

4. Ulishiriki na nani somo lililopita na matokeo yalikuwaje?

5. What needs did you meet in the community last week?

Discover

6. Uliza mtu asome kifungo kimoja kwa wakati.

7. Kuwa na mmoja katika kikundi na aseme kifungo kwa maneno yake mwenyewe.

8. Uliza kikundi kama amewacha au kuongeza kitu.

Yohana 1:1-18

Hapo mwanzo, kabla ya kuwapo kitu kingine cho chote, aliku wapo Neno. Huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye alikuwa Mungu.Tangu mwanzo Neno amekuwa na Mungu.Vitu vyote viliumbwa na yeye, wala hakuna cho chote kilichoumbwa ambacho hakukiumba.Uzima ulikuwa ndani yake na uzima huo ndio ulikuwa nuru ya watu.Nuru hiyo huangaza gizani na giza haliwezi kamwe kuizima.

Mtu mmoja aitwaye Yohana alitumwa na Munguawaambie watu kuhusu hiyo nuru, ili kwa ushuhuda wake wapate kuamini.Yohana mwenyewe hakuwa ile nuru. Yeye alitumwa kuishuhudia hiyo nuru.Nuru halisi ambayo inawaangazia watu wote ilikuwa inakuja ulim wenguni.10 Neno alikuwepo ulimwenguni, lakini japokuwa aliumba ulimwengu, watu wa ulimwengu hawakumtambua!11 Alikuja nyumbani kwake, lakini watu wake hawakumpokea!12 Bali wote waliompokea na kumwamini aliwapa haki ya kufanywa watoto wa Mungu.13 Hawa hawakuwa watoto wa Mungu kwa kuzaliwa kwa njia ya asili, wala kwa mapenzi au mipango ya watu bali wamezaliwa na Mungu mwenyewe.

14 Neno akawa mwanadamu akaishi kati yetu akiwa amejaa utu kufu na kweli. Tuliona utukufu wake, utukufu wa Mwana pekee wa Baba.15 Yohana alishuhudia habari zake, akatangaza: “Huyu ndiye yule niliyewaambia kuwa, ‘Yeye ajaye baada yangu ni mkuu kuliko mimi kwa kuwa alikuwapo kabla sijazaliwa.”’16 Na kutokana na ukamilifu wake, sisi sote tumepokea neema tele.17 Musa alitule tea sheria kutoka kwa Mungu, lakini Yesu Kristo ametuletea neema na kweli.18 Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote. Lakini Mwanae pekee, ambaye ana uhusiano wa karibu sana na Baba yake, amemdhihirisha Mungu kwetu.

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)

Copyright © 1989 by Biblica


Read More

Application

9. Ukimaliza vivungo vyote, uliza mtu katika kikundi aseme hadithi yote kwa kichwa. Wacha kikundi kirekebishe makosa.

10. Kifungo hiki kinatueleza nini kuhusu Mungu?

11. Kifungu hiki kinatueleza nini kuhusu wanadamu?

Planning

12. Kama kifungo hiki ni kweli, ni tabia ipi tunafaa kubadilisha juma hili?

13. Utamweleza nani kuhusu hadithi hii juma hili?

14. Mahitaji yapi tunaweza kuyatekeleza juma hili katika jamii?